UEFA yatoa muongozo mpya kwa FA

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,791
15,080
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza FA limepokea muongozo kutoka UEFA kuwa kuanzia msimu ujao timu 8 kutoka nchini humo zitashiriki mashindano ya ulaya,5 zitashiriki mashindano ya UEFA champions league,2 UEL,1UECL. 🚨✅

Ongezeko la timu hizo limekuja mara baada ya ligi ya nchini humo Premier League kuongeza point katika ranks za UEFA. Kuanzia timu inayoongoza ligi mpaka inayoshika nafasi ya name itakuwa na uhakika wa kucheza mashindano ya ulaya rasmi kuanzia msimu ujao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…