UEFA ndani ya Canal+

UEFA ndani ya Canal+

poppah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
630
Reaction score
548
- Jipatie Canal+ HD decoder uweze kuona ligi mbalimbali kwa sh 150,000 (ikijumuisha ufundi)

- Utaweza kuona ligi za Uingereza (EPL), Bundesliga, Serie A, Ufaransa (League 1), Laliga, UEFA, uropa, mechi za mabingwa Africa na zinginezo.

-Mashindano mbalimbali ya tennis (Wimbledon, ATP Masters 1000), mpira wa kikapu (NBA), rugby, mashindano ya magari (Formula 1), mieleka (WWE) nk.

- Yote haya utayaona kwa channel za CanalHD,1, 2,3, 4 na 5 zote zikiwa HD

- Malipo ya kifurushi cha Canal ni 43,000 tu kila mwezi.

NB.
  • Matangazo ya mpira na live events zingine ni kwa lugha ya kifaransa.
  • Bei hii haijumuishi dish

Simu:0764453848

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umeweka bei na unasema bei haijumuishi dishi. Sasa kuna maana gani ya kuwrka tangazo hapa? Mnaptikana wapi? Nipo Tukuyu VIP huduma zenu zinafika?
 
Ratiba ya weekend
20200222_081159.jpeg
20200222_081139.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ratiba ya mechi zote za leo Jumanne
IMG-20201016-WA0021.jpeg
 
Mechi zote za leo Jumatano UEFA
IMG-20201021-WA0000.jpeg
 
Ratiba ya mechi za Europa leo Alhamisi tarehe 22
IMG-20201022-WA0002.jpeg
 
Ninaangalia mechi zote za ligi zinazojielewa. Isipokua tatizo ni moja tu, lugha ni kifaransa.
 
Mechi zote za UEFA leo tarehe 27.10 kwenye Canal+
IMG-20201027-WA0012.jpeg
 
Mechi zote za UEFA wiki hii tarehe 3 na 4 kwenye Canal
IMG-20201030-WA0008.jpeg
 
Mechi zote za UEFA wiki hii kwenye Canal+
IMG-20201126-WA0013.jpeg
 
Ratiba ya mechi za UEFA wiki hii
IMG-20201204-WA0009.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom