Baada ya kichapo kutoka kwa Bournemouth na sare jana, basi mmekali majungu tu dhidi ya Arsenal. Kwani Liverfool yeye kapangwa na nani?
Kwa taarifa yako, Arsenal na Real Madrid zimewahi kukutana mara mbili tu, mechi ya moja tukiwachapa moja bila (bao la Thiery Henry) na ya pili wakipuruchuka na kuambulia sare. We walete tu, tupo kikazi