Najaribu ku google lakini sioni kitu,sijui tunacheza na timu gani leo UEFA,Chama langu jamani dahh nisaidieni na kikosi.
Hii gemu chijui tu ngoja tuone.. Tu..
no bike at all sir nice news kisela..No Ribery wala Robben.
Du! Gefu taratibu....city anakula 4 - 0 leo,dadeki...!