jaman UDSM yageuka danguro mapenzi yanafanya sehem yoyote giza likiingia,mwanafunzi mmoja wa udbs(udsm school of bussiness)afumaniwa kwenye gari la mshikaji na mshikaji wake alitoka kwenye gari kwa hasira na kumpiga kichwa auxiliary police ofisa hadi kumpasua kwenye paj la uso ,ndipo mwanaume huyo alikamatwa na kupelekwa kituon ndipo alipigwa fain ya shiling 3,000,000 na kuachiwa na katoto hako ka kike ni mwaka wa kwanza hata shule hakajazoea kanabembeleza viongiz wa DARUSO JAMBO HILI LISIFIKE Mbali kwan ofice ya dean of students ikifaham atafukuzwa chuo kwa MUJIBU wa sheria ndogo ndogo za chuo,jaman dunia imekwisha ,maeneo ya hall 3 kwa maeneo ya campus ndo uwanja wa vita kama meada ,buguruni au ambiance,jaman wengine wanauza kabisa kunavyumba maalum ukitaka unapelekwa unapata service this is terrible ma dear
Kama serikalini ni uchangudoa mtupu katika kutoa vyeo mnategemea vyuo viwe exceptional to the general rule? Watu wanapewa ukuu wa wilaya, mikoa hata ubalozi uwaziri na ujaji kwa dhambi hii. Kimsingi hii ni picha halisi ya jamii yetu ambapo ufisadi wa kila nyanja umeshamiri.
Tena si wanafunzi tu, hata wafanyakazi, tena wake kwa waume wanajiuza au wanafanya ngono holela kama walivyo baadhi ya mama lishe, waalimu, askari polisi hata bungeni unaweza kukuta wanaofanya ngono ili wapate chapaa au cheo. sijui kwa nini wamekamia sana wanafunzi wa UDSM, mtu akiwa na boyfriend, nongwa, wote wanajiuza, mnategemea wale wasichana na wavulana waanze kuwa na wapenzi na kufanya ngono lini? its the right time, wanafanya its not affecting anyone but themselves, shida za nini. this is a bigoted and chauvinistic thinking, let them enjoy themselves! after mikiki ya mitihani ya form six, kasheshe za bweni , mageti ya home, walikuwa wanaambiwa wasubiri, wakasubiri, unataka wasubiri mpaka lini? umri wa Anne Kilango? they are over 18 and have a right to do what they want! huyo aliyeandika usikute yeye ndio mteja namba moja wa barabara ya Meeda na Jolly, au everybody around him/her is doing it na ana feel left out! go and get some! Dont be mean!usiwe na wivu wa kitoto!msizungumze vitu hamjui maana yake
danguro mnajua lilivyo?
swala la wanafunzi kujiuza kimya kimya hilo lipo dunia nzima
but usiseme danguro
alafu mbona huyu kapiga faini kubwa sana? mie mbona nilitoa buku 50 tuu
Tena si wanafunzi tu, hata wafanyakazi, tena wake kwa waume wanajiuza au wanafanya ngono holela kama walivyo baadhi ya mama lishe, waalimu, askari polisi hata bungeni unaweza kukuta wanaofanya ngono ili wapate chapaa au cheo. sijui kwa nini wamekamia sana wanafunzi wa UDSM, mtu akiwa na boyfriend, nongwa, wote wanajiuza, mnategemea wale wasichana na wavulana waanze kuwa na wapenzi na kufanya ngono lini? its the right time, wanafanya its not affecting anyone but themselves, shida za nini. this is a bigoted and chauvinistic thinking, let them enjoy themselves! after mikiki ya mitihani ya form six, kasheshe za bweni , mageti ya home, walikuwa wanaambiwa wasubiri, wakasubiri, unataka wasubiri mpaka lini? umri wa Anne Kilango? they are over 18 and have a right to do what they want! huyo aliyeandika usikute yeye ndio mteja namba moja wa barabara ya Meeda na Jolly, au everybody around him/her is doing it na ana feel left out! go and get some! Dont be mean!usiwe na wivu wa kitoto!
Hivi pesa ya kujikimu kwa siku wanapokea kiasi gani?
Buku 50 nyingi hivyo! mi nilitoa buku tano tu