UDSM YABUNI CHAKULA CHA SAMAKI CHA BEI NAFUU.

UDSM YABUNI CHAKULA CHA SAMAKI CHA BEI NAFUU.

kiwenini

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
73
Reaction score
43
1096128
 
Mmetubana kwenye kodi tumefunga maduka tumekimbia mjini tukaja vijijini kufuga samaki, Sasa mmeamua kuja kutuulia na hivi visamaki vyetu. Fugeni nyie muwalishe hicho cha bei rahisi. Kama kimebuniwa na maprofesa hawa ninawaona bungeni na kwenye teuzi za Mkuu!!! Hu hu huuuuuu!!! Lisheni wakwenu tu sisi mtuache. Hamkawii kuja kusema tuliwanukuu vibaya.
 
Back
Top Bottom