UDSM waita kwenye usaili

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
Habari wapendwa,

Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016.

Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
 
Kwa nafasi gani mkuu? Kama ni za academic mbona walishaita kitambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…