Udsm through nacte

Udsm through nacte

Kwahyo tufanyaje ndugu yangu...minaona j3 tukutane udsm..ila cha msngi ni kucheck kwanza kama majna yetu hayapo kati ya yale yaliyokua rejected udsm kwahyo hapo nacte ndio watatuambia then ndio itabid tuhuske udsm
 
Hivi hawa Nacte inakuaje jamani sasa na mkopo tutapata Kweli kama confirmation hawa wa udsm nao ni tatizo jamani mlioko dar wakutane jamani muwaambie wafanye kila wawezavyo sie nafasi zetu zisipoteee
 
Kibaya zaidi nasikia heslb wameshaanza kuwajulisha watu waliopata mkopo kupitia account zao...
 
Ila kesho kitaeleweka jibu kamili litapatikana kuanzia tcu nacte hadi udsm
 
Back
Top Bottom