Mkuu hiyo nilimuwekea Jemadari mwingine aliye ulizia.
Kwa upande wako nasikia unatakiwa uingie UDSM kwenye account yako, halafu utafute selection status yako na ndio utajua kama umepata au wapi. Sijaona orodha ya wale wenye single selection kwa UDSM.