austin richard
Member
- Sep 20, 2016
- 65
- 22
utaona hapohapoIli iweje
nataka iwe na viewer wengi1. Sasa tutajuaje kama tutachaguliwa kwenye hicho chuo ?
2. Kwanini utumie kichwa cha mada kinacholeta taharuki kwa watu wanaotarajia second selection ?
nimetulia enheeHebu kaa utulie huko
umepata wenge ganiVijana wenge mingi sana aisee,
umepata wenge gani
hivi kusoma ni vita kaka kusoma unasoma kuelimika just tu kuwa mpole... iyo sio kazi yako usifoc tufananekwa sasa unapaswa kuwaza namna utakavyokabiliana na moduli siyo makundi ya wasap. au unadhani chuo bata kama unavyosikia mtaani