UDSM na UDOM wapi niende?

Wakuu habarin ,,
Nlikua naomba ushauri nimechaguliwa UDOM na UDSM sas nlikua naulza wapi afadhali niende na kwanini..
Angalia kozi ipi Ni marketable usiangalie jina la chuo. Naamin kozi umechaguliwa tofauti.
 
Hivi hapa ndo tunaaminishwa kwamba mtu anapewa uwanja mpana wa kusoma akitakacho?
UDOM PSPA
Na UDSM Arts in Education...two unrelated courses.

Kikubwa angalia halmashauri yako ya kchwa inakwambiaje maana ukisubiri watu wakuchagulie utakuja laumu bure.
 
Hairisha mwaka huutafuta koz nyingine uksome ambayo itakufanya uwe professional tafuta law ufanye law school then Apo utaanzisha firm yako
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…