Umenikumbusha mbali sana miaka ya 1993 wakati huo meza zote nne za mbele za cafeteria zikuwa ni za wazee(Engineering) sijui bado iko hivyo hapana.Pia mzee PUNCH bado yupo au kafa?Engineering 1year bado wanavaa makoti yao ya blue na mabuti?Je Mangwini badi waitwa hivyo?Any way umenikumbusha mbali sanaaaaa.Nilikuwa nakaa hall 4 hata nipo endo hapo napata misa yote nikiwa chumbani kwangu...
Duh!kumbe kale ka cafeteria pale hal six ndio mlikuw mnakaita yombo,sasa pale kule lecture rooms 3,yombo 1,2,3 toka early 2000,lakn ile cafeteria imekuwa ofisi za daruso.
Duh!kumbe kale ka cafeteria pale hal six ndio mlikuw mnakaita yombo,sasa pale kule lecture rooms 3,yombo 1,2,3 toka early 2000,lakn ile cafeteria imekuwa ofisi za daruso.