udoso iwe bendi ya taarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

udoso iwe bendi ya taarabu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, Dec 14, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viongozi wa serekali ya wanafunzi chuo kikuuu cha dodoma imefwananishwa na bendi ya taarabu kwa mfano viongozi hao ambao ni wabovu ambao hawajawahi kutokea taangia chekechea na shule za msingi zianzishwe wamekuwa wakiwa wanasababisha ukandamizaji mkubwa wa wanafunzi kuanzia suala upatikanaji wa mikopo mpaka hata maji ya kuogea hapa chuoni kila wanapoulizwa husema kuwa wanaogopa kukuata na viongozi hivi hawajamaa hawafai hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi kwa hiyo hawashili kupata wazifa wawote msije mkawapa nafasi mkisema labda ni wasomi kumbe ni waganga njaa tu
   
 2. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unategemea UDOSO watakuleteaje maji, wakati unajua mji wa Dodoma una matatizo makubwa ya maji?! Af na hao Ma Warden na Ma block leader wanakazi gani hadi muanze kuwalaumu UDOSO wanaogopa kuonana na uongozi?!
   
Loading...