M Magoo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 448 Reaction score 79 Mar 10, 2013 #1 Kwa wale waliofanya usaili mwaka jana college of "mathematics and natural science" mwishoni kuna mwenye taarifa zozote za waliofanikiwa kufaulu usaili kuitwa kazini?? ama nini kinaendelea please tujuzane kama kuna jipya lolote
Kwa wale waliofanya usaili mwaka jana college of "mathematics and natural science" mwishoni kuna mwenye taarifa zozote za waliofanikiwa kufaulu usaili kuitwa kazini?? ama nini kinaendelea please tujuzane kama kuna jipya lolote