UDOM: Watumishi wengine 50 wahamishwa

prof mlacha hayupo sasa hivi
wote mtahamishiwa morogoro univestity yenu
 
Mtu unalamikia kuhamishwa katika utumishi wa umma?? Aliyeleta hiyo hoja atakuwa mpiga majungu tu, hakuna huja hapo,, tena inaonyesha UDOM wastarabu kweli, wanashikisha chama cha Wafanyakazi?? Taasisi zingine uongozi haushirikishi kabisaaa, hongereni uongozi wa UDOM kwa kushirikiana viongozi wa THTU
 
Wewe ndugu yangu weweeeee acha porojo, wewe tuambie kuna mtu amepelekwa pasiposahili? Rishafo mbona jambo la kawaida kabisa katika kampuni yoyote? Unajua nia na madhumuni ya rishafo? Uliajiriwa na UDOM kufanya kazi kitengo fulani pekee au popote UDOM? Unataka kuniambia mafaili yapo kwaajili ipi hadi waanze kuchunguza mtu mmoja mmoja? Hapo unaonesha udhaifu mkubwa sana ingawa unajiita mwenye akili ilihali hata inzi ana akili tatiza uelewa. Alafu kwanini umepakaji taarifa yako kama vile wamehamishwa toka UDOM kwenda kwingine? Ndiyo ivute hisia au kaching words? Acha kupandikiza chuki kwa maslahi yako binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa anahisi kila mtu anamjua kaka na dada teh teh teh..

Kwa habati hii ilifaa apost kwenye kundi lao la WhatsApp huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie vilaza wa UDOM mnafikiri mnaohamishwa ni nyi tu kwenye hii nchi ama. Mbona wengine wanahamishwa kila siku hatuwaoni wakianzisha uzi humu ndani. Ameamishwa wizara kabudi mje kuwa nyie, who are you. Kuna haja ya kuangalia vigezo vingine vya kuajiri vyuo vikuu GPA haitoshi coz naona kuna vilaza wengi tu wanajificha kwenye kivuli cha GPA.
 
Acha kuingilia mamlaka isiyokuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…