napenda kuuliza km udom wameita kwa waliofanya oral interview tarehe 8 mwezi wa 3 kwa nafasi za assistant accountant and assistant supplies officers. asanteni
napenda kuuliza km udom wameita kwa waliofanya oral interview tarehe 8 mwezi wa 3 kwa nafasi za assistant accountant and assistant supplies officers. asanteni
wameita watu wa kada ya afya mimi walinipigia tokea jumatano ya wiki iliyopita.......nadhani wengine mtafuatia...
msikate tamaa mana sisi tulipiga oral tokea mwaka jana mwezi wa kumi na moja tarehe moja ...
xo kama ipo ni ipo tu..
hawa jamaa hawana afadhali posts za academic tangu november tulipiga oral naona kimya kuna mwenye information wakuu....Vipi hizo za afya zilikuwa ni administrative or academic post??
Udom nao nitatizo,kama hawakua na uhakika wasingetuambia wataita watu mwisho wa mwezi wa 3....wk ya pili cpati ucngizi kwa ajili yao cm mpaka maliwato....duh!
Udom nao nitatizo,kama hawakua na uhakika wasingetuambia wataita watu mwisho wa mwezi wa 3....wk ya pili cpati ucngizi kwa ajili yao cm mpaka maliwato....duh!
ukiona manyoya ujue ameliwa,kama uliambiwa mwisho wa mwezi wa tatu andika maumivu.
wenzio wana kula posho za usahili, mwisho wa siku wataita tena kwenye written,