Asante kaka kwa ufafanuzi huo.yeap kaka kwa watu wa kada ya afya waalishaitwa tokea siku nyingi walifanya interview november mwaka jana ........
ila kwa tetesi wengine wataanza kuitwa chuo kitakapofunguliwa na wanafunzi kulipa ada ili muwezi kulipwa hela za kujikimu kaka.....
vuta subra kaka ila endelea na ishu zako huku ukisikilizia