UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

wewe hauko seriouz iko udom ukisema ni kijiji advanced kwa Tz nitakubali ila chuo bora hapana na haitowai kutokea ata mara moja man tafuta kingine tu kama umesoma hapo jifariji tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ila sio chuo
 
We unasoma chuo gan tanzania ambacho ni bora??
 
najua tu umeandika haya ili kukipinga UDSM lakn ukwel utabaki pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…