UDOM wanakaribia kutoa post za vyuo na dalili zimeanza kuonekana baada ya wao kutoa tangazo kwa wanafunzi watakaokwenda kujiunga huko. Tangazo hilo sana ni kuhusu malipo ambayo inabidi ulipe na tarehe ya mwisho (deadline) ya kufanya malipo hayo. Soma tangazo hilo hapa Udom Watoa Tangazo Kwa Wanafunzi Watakaoenda Udom
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.