Wadau kipindi natuma maombi ya special diploma education UDOM sikufanya online ila nili download form
kutoka kweny web ya udom nikajaza then nikapost . sasa kuna wadau wanasema et maombi ya diploma inatakiwa yapitie NACTE. sasa nimekua na wasiwasi kwamba pengine nilikosea kwasababu sikuapply kupitia nacte. hivo je kuna uwezekano wakuchaguliwa? natanguliza shukrani