Science Mathematics Education UDOM....hiyo programme inatolewa kwa ngazi gani?!!!...degree,masters,postgraduate ama?
Jaman naomben msaada?!!!
mm nimechaguliwa na serkl kwend udom, ila mwanzon niliapply na pia mkopo niliomba Je, ninaulazima wa kuomba tena mkopo!
Wiki mbili zijazo.... Tumeshatoa majina ya incomplete forms heslb yameambatana na undergraduates
Jamani kwa wale waliofanya application UDOM diploma education selection lini wakuu?
Uliapply kupitia NACTE?