Maandalizi ya shule ni pamoja na kutimiza yale yaliyomo kwenye admission letter (joining instructions). Kuchelewa kwa barua hizo huenda zikatuweka mahali pagumu. Any way nitasubiri kwa muda.Tulia zitatumwaa mapema sana sahiv kwa udom kuwatumia na kuna wezako hua wanaenda kuzichukulia chuo kabisa hata kweny profile unaweza usitumiwee kama tu ilivokua system ya ku apply code mwingine anatumiwa mwingine hatumiwii..umepeata chuo jiandae na shulee tu
Admission letter ni muhimu kupatikana mapema..hivi Udom kama mtu kapata single selection anachokuwa anasubiria si admission letter tu mkuu??Maandalizi ya shule ni pamoja na kutimiza yale yaliyomo kwenye admission letter (joining instructions). Kuchelewa kwa barua hizo huenda zikatuweka mahali pagumu. Any way nitasubiri kwa muda.
Baadhi wanazitumia ili kuombea ruhusa makazini za kwenda masomoni.hivyo kuna umuhimu wa kupatikana mapema.Admission letter ni muhimu kupatikana mapema..hivi Udom kama mtu kapata single selection anachokuwa anasubiria si admission letter tu mkuu??
asante mkuu kwa taarifaMzgo tyr ingia kwa acnt ykoView attachment 1208856
mkuu hii kitu imewekwa lini mimi mbona huku kwa akaunt ya dogo badoMzgo tyr ingia kwa acnt ykoView attachment 1208856
mkuu hii kitu imewekwa lini mimi mbona huku kwa akaunt ya dogo bado
au ni degree tu maana dogo ni diploma na kwa profile yake hakuna kituNi jana asubuhi mkuu,Jaribu kuangali mara kwa mara huenda ukaikuta hyo section. Ingia now mkuu.
admission letters zao huwa specific kwa kila mtu sio general za kutoa copy , huwa zinakua generated huja na details tofauti kwa kila mwanafunzi mfano kila form huwa na control namba tofauti ,jina tofauti na course huwa imejazwa kabisa so inachukua muda kidogo wavumilieni tu.
Mkuu kuna selections zilitoka September 2, 2019 hadi leo October 7, 2019 hamna admission letters au ndio tunatakiwa wote tuandamane kwenda UDOM? Kuna aliyekwenda nasikia wamempa sasa sie tulioko mbali tufanyeje?admission letters huwa zinategemea round gani ya selection ulikuwa , wale wa round ya kwanza huanza kupata admission letters mapema kuliko wa round ya pili na ya tatu, kuweni watulivu