leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,707
Nakumbuka enzi hizo fedha ya kigeni inaheshimika!ukitaka kusafiri nje ya nchi unaenda benki unapewa hizo cheque ambazo utazitumia huko nje baada ya kuzibadilisha katika benki za ughaibuni.
Hii ilisaidia sana ulanguzi na utakatishaji wa fedha za kigeni.
NAWASILISHA!
Hii ilisaidia sana ulanguzi na utakatishaji wa fedha za kigeni.
NAWASILISHA!
Attachments
Last edited: