kila mtu anajua mpira ndio mchezo unaoongozwa kwa mashabiki hapa nchiniu ajabu miss tanzania walikuwa wanadhamini pesa nyingi kuliko mpira wa miguu
nimeshangaa tff wakizuia afrikan lyion kuvaa jezi za zantel wakati wao hawahusiki na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na gharama za timu wakati ligi ya south inadhaminiwa na mtn lakini kuna timu zinadhaminiwa na vodacom uingereza liver wanadhaminiwa na standard charter bank wakati mdhamini wa ligi ni bank nyingine makataba wa voda ni wa kunyonya timu wala hauwasaidii