Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Hapana mkuu kuna kijana wetu alikuwa huko na mpaka sasa bado hawajamuachiaMkuu pole sana? Vipi ndo wamekuachia sasahivi nini?
Na baridi ya njombe sipati picha usiku wakuchomoe room na mchepuko alafu ukalazwe selo.
Hao policcc labda walikua wameutwika ulanzi.
Mkuu inasikitisha sana hii ndiyo hupelekea wananchi kuwa na chuki na jeshi lao kutokana na baadhi ya viongozi kuwa na tamaa ya maslahi binafuSina mda Wa kumshangaa mkuu Wa mkoa ninakawaida ya kumshangaa aliyemteua na ujinga huo hakuna kauli
Kwa kweli mkuu inasikitisha sanaWapuuzi Sana!
Na hakuna kulala wawili jinsia moja mnakamatwa yaani nimlaze mdogo wangu chumba kingine wakimbaka je?
Hilo liko mikoa mingi tu
Huu utaratibu sijui wameuokota wapi hawa watu
Ni haki kuamsha watu saa 8 usiku kuwakagua kweli??
Mkuu kujiandikisha ni kila siku au mara moja?kwa maana kwamba ukikaa siku tatu unatakiwa kila siku ijiaandikishe na ni sheria ipi inayozungumzia kujisajili katika daftari la wageniSheria ndio inasema ni lazima ujiandikishe kwenye daftari la wageni. Next time usivunje sheria
Mkuu ni hatari ni Maketeselo za njombe na baridi lile lazima ukitoka umekonda tu
Unajua watanzania tumekuwa na ujinga kiwango kikubwa sanMkuu inasikitisha sana hii ndiyo hupelekea wananchi kuwa na chuki na jeshi lao kutokana na baadhi ya viongozi kuwa na tamaa ya maslahi binafu
Mkuu inasikitisha maana afisa anayekabidhiwa dhamana ya kulinda raia ndiye anageuka na kuwa mkandamizaji na mdhalilishaji wa wanachi anaotakiwa kuwalindaUnajua watanzania tumekuwa na ujinga kiwango kikubwa san
Huo utaratibu niliuona Tanga. Wanawake wanaruhusiwa ila wanaume hawaruhusiwi.Wapuuzi Sana!
Na hakuna kulala wawili jinsia moja mnakamatwa yaani nimlaze mdogo wangu chumba kingine wakimbaka je?
Hilo liko mikoa mingi tu
Huu utaratibu sijui wameuokota wapi hawa watu
Ni haki kuamsha watu saa 8 usiku kuwakagua kweli??
Hapana mkuu kuna kijana wetu alikuwa huko na mpaka sasa bado hawajamuachia
Kuna vyumba vina twin bed maalum kulala watu wawili jinsia moja chumba kimoja. Tatizo kuna watu wanafanyakazi kama robotHuo utaratibu niliuona Tanga. Wanawake wanaruhusiwa ila wanaume hawaruhusiwi.
Kwa wanawake ni rahis kuliko wanaume kulala chumba kimoja..Wapuuzi Sana!
Na hakuna kulala wawili jinsia moja mnakamatwa yaani nimlaze mdogo wangu chumba kingine wakimbaka je?
Hilo liko mikoa mingi tu
Huu utaratibu sijui wameuokota wapi hawa watu
Ni haki kuamsha watu saa 8 usiku kuwakagua kweli??
Huo utaratibu niliuona Tanga. Wanawake wanaruhusiwa ila wanaume hawaruhusiwi.