Udhaifu wa wanawake hasa walio kwenye ndoa wa kupenda vitu vya cheee na kuwapelekea kutoka nje ya ndoa yake, kisa msaada wa Konda kutomtoza nauli ya Mzigo, Kisa mkaa wa Nyongeza wa muuza mkaa
jambo hili latokea mtaani kwetu na kujiuliza ni udhaifu ama kulipa fadhila
Udhaifu wa wanawake hasa walio kwenye ndoa wa kupenda vitu vya cheee na kuwapelekea kutoka nje ya ndoa yake, kisa msaada wa Konda kutomtoza nauli ya Mzigo, Kisa mkaa wa Nyongeza wa muuza mkaa jambo hili latokea mtaani kwetu na kujiuliza ni udhaifu ama kulipa fadhila.
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?
hatulingani vipato,
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?
Una hukakika wanapata kila kitu wanaume wengi hawajui responsibilities zao japo sikatai kuna wanawake wenye tamaa ila asilimia ni ndogo kulinganisha na wanaume wanaopiga kazi za nje.hata uweke kilak2 girls are stupid all the tym kwan huwaon wake zamatajiri wanavyogegedwa kizembe nawazembe ilhali each and everything anapata kwa home yake
huu ni umasikini na unachangiwa na sisi wanaume, hebu fikiria tungekuwa tunafanya manunuzi ya vitu vyote ipasavyo kungekuwa na ujinga huo...!?
hadi na PIPI KIFUA NA NYANYA ZA NYONGEZA kwenye shop langu mimi huwa nang'oa