Bunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.Kumekuwa na thread nyingi zinazo husu udhaifu wa Bunge la Tanzania.
Naomba mods msiuchanganye uzi huu na nyingine, ili kila mtu aweze kuchangia mawazo yake huru kuondoa ukakasi uliopo kwa sasa juu ya adhabu zinazotolewa kwa watu wanaosema bunge ni dhaifu.
Je udhaifu wa bunge uko wapi?
Kabisani imara sana halina udhaifu wowote
Mlio karibu na huyu memba jitahidini muwe karibu nae 24/7Bunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.
P.
Nimekuelewa PBunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.
P.
Bunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.
P.
Bunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.
P.
Kuna haja sasa ya kuwaita takribani nusu ya wa Tanzania pale dodoma ili wakaonyeshwe uimara wa bunge letu,hii ya kuita mmoja mmoja ndio inayochangia kuenea na kusambaa kwa hii Hali ya sintofahamu juu ya uimara au udhaifu wa bunge letu.Bunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.
P.
1)Bunge ni imara kama taasisi na kunawabunge imara pia
2) kuna wabunge ambao ni dhaifu kama wabunge tu.
Ikiwa bunge taasisi ndo dhaifu hakukua na haja mbunge kuingia ndani ya bunge dhaifu.. na akiingia basi na huyo mbunge nae anakua dhaifu..
Sent using Jamii Forums mobile app
"ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu"Bunge letu ni imara sana na halina udhaifu wowote, ndio maana kila anayesema Bunge dhaifu, huitwa Dodoma na kuonyeshwa uimara wa Bunge letu. Mimi mwenyewe naujua uimara wa Bunge letu maana nami niliishawahi kuitwa Dodoma.
P.