matumizi ya ziada lazima yawepo. wameshindwa kutunga sheria ya kudhibiti matumizi ya makusanyo ya kodi kadhaa ya tasisi kama vile mamlaka, wakala na mashirika. wao wakusanye wale, walipane posho za vikao, wahamie mahotelini kufanya warsha, retreat. wasafiri wapendavyo kwa workshop, semina na short course ambazo hazina tija zaidi ya kutunisha akiba zao benki. Serikali yetu pesa iko nje nje ila udhibiti haupo.