sijaelewa...
Kuna watu ni wake za watu/waume za watu wanaingia mitandaoni kutafuta wachumba
kuna watu wanaomba kutembea na wapenzi wao kinyume na maumbile wakikataa wanawaacha
dunia inaisha tuwe na hofu kwa mungu, hiki kizazi kinaenda wapi (more or less)
Naomba kujua wewe unataka tukusaidieje sasa hapo? au tuchangie hoja ipi kati ya hizo tatu (au zote kwa pamoja?)
unaweza changia vile unaona ww coz huu ni mtazamo wangu na pia naweza kuwa wrong kwa minngine soo just write what u think is the bestsijaelewa...
Kuna watu ni wake za watu/waume za watu wanaingia mitandaoni kutafuta wachumba
kuna watu wanaomba kutembea na wapenzi wao kinyume na maumbile wakikataa wanawaacha
dunia inaisha tuwe na hofu kwa mungu, hiki kizazi kinaenda wapi (more or less)
Naomba kujua wewe unataka tukusaidieje sasa hapo? au tuchangie hoja ipi kati ya hizo tatu (au zote kwa pamoja?)
ndugu, nimekuja kwa nia nzuri tu ya kuchangia ila sijaelewa mtazamo wako ndio maana nimeweka nilicho elewa mimi ili unipe mwelekeo nichangie madaunaweza changia vile unaona ww coz huu ni mtazamo wangu na pia naweza kuwa wrong kwa minngine soo just write what u think is the best
duuh yaan now days full kudanganyana mfano kwenye hizi social networks waume za watu kwa wanawake za watu ndipo wanapotumia kucheat face name n identity ndizo za tumika ilimradi tuu muendelezo wa uzinzi kiasi kwamba some of the people hata wakiwa serrious kupost thread zao za kutafuta wachumba wanawatake for granted jaman u guyz lets change coz cjui kizazi hiki kinaelekea wapi? ukitaka kumdate mwanaume anainsist ngono kinyume na maumbile wat is so special abt this? yaan mtu yupo radhi kumuacha mpenz wake just becoz kashindwa kumtimizia hyo demand yake yakishetani, tubadilike jaman kikubwa tuwe na hofu ya mungu.......................................tooo sad""""
'''''Msg sent hata kama ukicomment shit''''