R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,217 Reaction score 96,350 Apr 15, 2018 #1 Mwenye taarifa lini udahili utaanza anijuze.
M murugu JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 238 Reaction score 43 Apr 17, 2018 #2 Kwa taarifa zisizo rasmi nasikia kua baada ya kumalizika huu wa intake ya march. Matarajio ni ktikati ya mwezi wa tano ndio utaanza ule wa watakaoingia september.
Kwa taarifa zisizo rasmi nasikia kua baada ya kumalizika huu wa intake ya march. Matarajio ni ktikati ya mwezi wa tano ndio utaanza ule wa watakaoingia september.