Uda mikononi mwa jackbauer!

Kila la kheri kiongozi, hakika ni jambo jema unalolisogelea Mungu awatangulie na kuwazidishia hekima mufanikwe katika mipango yenu.
 
muhabesh, wanakuaga wazuri kweli kama vp tega kabisa ile mambo ya kugandiana..just incase
 
kadi lini au tunapiga customary marriage.Hongera zako kwa kuzunguka juani n.k hatimae kumtia nguvun ni kipaji pia unastahili pongezi.
 
Heeeeeee!!!!! Mkuu Jackbauer nimeshtukia unataka kuwa shemeji yangu hahaaaaaaaa!
All the best my shem to be!
 
Last edited by a moderator:
kadi lini au tunapiga customary marriage.Hongera zako kwa kuzunguka juani n.k hatimae kumtia nguvun ni kipaji pia unastahili pongezi.
tunaanza na ndoa ya kijadi kwanza!halafu uzungu badae!
 
ndo maana yake!juzi tu nimepeleka mfugo mweusi.....

Haya Mkuu....................... ila siku tukiitana shemeji na majamaa wakianza kuuliza kati yetu nani anamkanyagia mwenzake mpaka tunaitana shemeji usiseme we ndo unanikanyagia sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…