Uda mikononi mwa jackbauer!

muhabesh, wanakuaga wazuri kweli kama vp tega kabisa ile mambo ya kugandiana..just incase
 
kadi lini au tunapiga customary marriage.Hongera zako kwa kuzunguka juani n.k hatimae kumtia nguvun ni kipaji pia unastahili pongezi.
 
Heeeeeee!!!!! Mkuu Jackbauer nimeshtukia unataka kuwa shemeji yangu hahaaaaaaaa!
All the best my shem to be!
 
Last edited by a moderator:
kadi lini au tunapiga customary marriage.Hongera zako kwa kuzunguka juani n.k hatimae kumtia nguvun ni kipaji pia unastahili pongezi.
tunaanza na ndoa ya kijadi kwanza!halafu uzungu badae!
 
ina maana Uda huyu huyu.........!!!
avatar32607_3.gif
 
ndo maana yake!juzi tu nimepeleka mfugo mweusi.....

Haya Mkuu....................... ila siku tukiitana shemeji na majamaa wakianza kuuliza kati yetu nani anamkanyagia mwenzake mpaka tunaitana shemeji usiseme we ndo unanikanyagia sawa?
 
Back
Top Bottom