UDA Lilivyo banwa na STRABAG

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,028
Reaction score
5,359
Habari wana JF.
Huku ujenzi wa barabara ukiwa unaendelea na madereva hasa wa daladala wanazidi kuchepuka kuwahi maslahi.
Nilikuta hii eneo la Studio Kinondoni huku basi likiwa limebanwa baada ya kukatisha sehemu ambayo inaendelea na ujenzi.
Kilikuwa kutuko kizuri sana. Angalia picha hii.
 

Attachments

  • 1407172130463.jpg
    90.5 KB · Views: 560
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa,haji kuchepuka tena,aaamekoma aaamekoma
 
Tena wangeligonga kabisa........UDA siwapendi sana, kwanza kwa vile limeuzwa kifisadi na pili ni hatua yao jana kusomba mamluki kuwapeleka Nkurumah.......shenzi zao.
 
UDA sasa hivi zimekuwa kama dala dala Yaani wanakuletea tu Halafu gali zenyewe haziko square kabisa unaweza gongwa hv hv.
 
Tena wangeligonga kabisa........UDA siwapendi sana, kwanza kwa vile limeuzwa kifisadi na pili ni hatua yao jana kusomba mamluki kuwapeleka Nkurumah.......shenzi zao.

Si tu limeuzwa kifisadi; baya zaidi "limeuzwa" kwa kipanya buku cha Mkulu! Si unaona hata upendeleo linaopewa?
Laana kwa wahujumu wa uchumi wa nchi hii. Iko siku tutawawajibisha.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…