Baada ya kuchezwa tangu mwanzoni,sasa zimebaki timu nne za soka kwenye Klabu Bingwa Barani Ulaya-UCL toka ligi kuu mbili tu barani humo:La Liga(Barcelona na Madrid) na Bundesliga(Bayern Munich na Borussia Dortimund). Na mipambano ya nusu fainali itakuwa hivi:
Barcelona vs Bayern Munich
Real Madrid vs B. Dortimund
Kale kaubishi ka ligi bora barani Ulaya,sasa kamepata jibu...