Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,529
- 61,938
SioBayern, ndoo ni halali yao
Nimekupa like kwasababu ya option yangu niliyoichagua ya GG.Bayern wakianza mechi kama walivyocheza na Lyon watapoteana..Mbappe,Neymar na Di Maria hataacha kuwaadhibu
3-2..PSG win it
Mimi nimempa like kwasababu ya option niliyochagua 4.5 over.Nimekupa like kwasababu ya option yangu niliyoichagua ya GG.
Inabidi wafunge magoli manne au matano,nina imani kuna magoli matatu ya PSGBayern, ndoo ni halali yao
mzee baba hii ni final ngumu sana.mbona umechagua optn ya magoli mengi?Mimi nimempa like kwasababu ya option niliyochagua 4.5 over.
Nina imani kina Mbappe wana uchu wa mafanikio, ila hawa Wajerumani ni hatari piaInabidi wafunge magoli manne au matano,nina imani kuna magoli matatu ya PSG
Sio ngumu hii kwa psg kupata magoli,bayern wanafunguka sana,kitu ambacho neymar ,mbappe,di maria hawataweza kukosa goli 3 pale.kingine bayern wanatengeneza nafasi nyingi za magoli,nao watafunga mengi tu,suala la nani kushinda litaamuliwa na mwenye uwiano mzuri wa kufunga na kufungwa magoli.nina imani goli zipo nyingi tu kama game ya sevilla na intermzee baba hii ni final ngumu sana.mbona umechagua optn ya magoli mengi?
Yes ,well saìd..Nina imani kina Mbappe wana uchu wa mafanikio, ila hawa Wajerumani ni hatari pia
Umechambua vizuri umenipatamaa.ila ngoja tuone mpira dk 90.Sio ngumu hii kwa psg kupata magoli,bayern wanafunguka sana,kitu ambacho neymar ,mbappe,di maria hawataweza kukosa goli 3 pale.kingine bayern wanatengeneza nafasi nyingi za magoli,nao watafunga mengi tu,suala la nani kushinda litaamuliwa na mwenye uwiano mzuri wa kufunga na kufungwa magoli.nina imani goli zipo nyingi tu kama game ya sevilla na inter
Ok,kama una kahela tupia over,utaniambia baada ya mechiUmechambua vizuri umenipatamaa.ila ngoja tuone mpira dk 90.