January Statistics On Airport Screening From The Department Of Homeland Security: | |
Terrorists Discovered | 0 |
Transvestites | 133 |
Hernias (Mabusha) | 1,485 |
Hemorrhoid Cases | 3,172 |
Enlarged Prostates (Visiki virefu) | 8,249 |
Breast Implants | 59,350 |
Natural Blondes | 3 |
Mimi kutokana na taaifa hii, nimeamua kuBADILI TABIA. Nasubiri kibali tu toka Wizara ya Ulinzi na Idara ya Anga nianzishe safari za kibiashara.hahaha loh! Ndo maana nashauri kutumia usafiri usio na gharama, kupaa na 'ungo'
Mimi kutokana na taaifa hii, nimeamua kuBADILI TABIA. Nasubiri kibali tu toka Wizara ya Ulinzi na Idara ya Anga nianzishe safari za kibiashara.
Bora hata hii njia ya usafiri unajua kusafiri ukiwa umevaa birthday suit kunahusika!so gardening and deforrestation activities zitafanywa mapeema!
Mimi kutokana na taaifa hii, nimeamua kuBADILI TABIA. Nasubiri kibali tu toka Wizara ya Ulinzi na Idara ya Anga nianzishe safari za kibiashara.
Hahaha! Tatizo lake bado hatuna viwanja maalumu vya kutulia. mara unashitua unatua juu ya paa la nyumba au unaangukia uwani.Bora hata hii njia ya usafiri unajua kusafiri ukiwa umevaa birthday suit kunahusika!so gardening and deforrestation activities zitafanywa mapeema!