OkNaongea kama mhanga
Akikuona ulikuwa MariooEti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅
Kwa hiyo jamaa anaijitifulia Mbunye yako?Akaenda olewa ,ila sasa naliona linalalamika kuhusu mume wake kwangu , fanyeni kukaa kijanja .
Si umesema wakati huo ulikuwa kabwela, akichoka kulea Mwanaume asiyejielewa, saa nyingine wanawake tunawalalamikia lakini kiukweli wako sawaNoo nitumia bima yake 😆 ila yeye ni mwalimu tu nipe mechanism ya yeye kunizidi pesa
Boss umenisahau please ukipata nafasi naomba unijibuNoo nitumia bima yake 😆 ila yeye ni mwalimu tu nipe mechanism ya yeye kunizidi pesa
Ulikutana na watoto wa mijini, ila hi JFs wahanga ni wengi sana.Mm wangu 2019 nilimwachia mpk nguo zangu ,auze akuze mtaji zaid ya biashara ya mpesa na kiwanja ,ila cha ajabu aliuza kiwanja m 90 mwaka 2020 .ila ss hv ukimwonaa hana pakulala wala uwakikaa wa kula,,mm msaada niliompa nikuchukuaga mtt wangu tu kwakuwa mwanzo alimng'ang'ania .ila ss hana ujanjaa
Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔
Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅
Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊
Akaenda olewa ,ila sasa naliona linalalamika kuhusu mume wake kwangu , fanyeni kukaa kijanja .
Mafala mnaodatishishwa na tako na rangi mnatekwa hapa viazi nyie😅
Kuna kitu unataka kukilazima kwa nguvu sanaSi umesema wakati huo ulikuwa kabwela, akichoka kulea Mwanaume asiyejielewa, saa nyingine wanawake tunawalalamikia lakini kiukweli wako sawa
Soma Uzi wa Robert Mtibeli, Mwanamke hakai na Mwanaume asiyejielewa hata uwe na pesa kiasi gani, ukiwa Huna pesa ndio kabisaaKuna kitu unataka kukilazima kwa nguvu sana
Ukaangaike na waganga kupoteza tu muda mkuu..mbonaa hkn ss nilichopungukiwa zaid nimeongezewa alipochukua mkuuUkikutana na watoto wa mijini, ila hi JFs waganga ni wengi sana.
Msiwe mnakurupuka, mademu Wana wazidi akili nyie msiojielewa
Walikataa baada ya kupigwa na vitu vizito, mjanja ni Yule ambaye hata Demu Hana na hajawahi kuoa.Kataa ndoa wanachekea chooni 😄 😄