Habari Leo,Uhuru,Daily news mara kadhaa hupambwa na vichwa vya habari visemavyo Tanzania huongoza kwa kukua kwa uchumi kwa kasi hapa Afrika Mashariki,na BOT imesema Tanzania ni nchi ya saba duniani kwa uchumi wake kukua kwa kasi zaidi.
Sasa napata mkanganyiko na tamko lililotolewa leo na mtukufu Rais kwamba hataongeza mshahar mpaka uchumi ukue(ingawa hajataja kiwango gani sababu currently ni 6.2%).
Au hizi data huwa ni za kucook?