Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..
Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
now nchi inaendeshwa kishikaji zaidiMlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..
Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Awamu iliyopita hawakusafiri Napo watu wakalalamika. Yaani bianadamu sijui anatakaje jamani.akiwa dikteta asiyecheka Napo wananunavijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania
Sawa lakini kuna nafuu awamu hii..Kwenye Comment zako zote Unajenga hoja vizuri na kwa kutumia data lkn tatizo una ushabiki fln hv ambao unashindwa kuuficha na ndipo unaharibu kila kitu. Umesahau kwamba hao maraisi watano unaosemea wanatoka chama kimoja na kila anaetoka huusika kwenye process ya kuchagua anaeingia. Hizo Ilani zao vp? Zinatekelezwa na ni endelevu?
Nisaidieni hii sentensi ina maana gani?this a your facts?[emoji32][emoji32][emoji32]
Ni kama vile hatuwezi kuunga taarifa za mataifa mengine na uhalisia wa nchi yetu, yaani tumefumba macho na tunaendelea kulalama tu mchana na usiku.Hali ni mbaya duniani kote. Hata Norway na Uswiz kwenye maisha mazuri na bora watu wanalalamika. Mnamuonea tu mama bure
Huyu mama wa kizenj,sasa hv anachofanya ni kurembua macho tu kama kala kungu!!,nchi imeishatekwa,"state capture"by catel,Hawa ndio wanaamua kila kitu,wamemuambia mama,yeye asiwe na wasi wasi,watamrudisha 2025!!yeye ajitangaze tu,kwenye sensa,mikutano,kila tukio hata kwenye mpira,ni PR kampeni inaendelea,Kinana,Kikwete na kundi lao,ndio wanaendesha nchi kwa remote,Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..
Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Hongera sana kwake mama Samia kwa kuchagua watu sahihi kumuendeshea nchi.Huyu mama wa kizenj,sasa hv anachofanya ni kurembua macho tu kama kala kungu!!,nchi imeishatekwa,"state capture"by catel,Hawa ndio wanaamua kila kitu,wamemuambia mama,yeye asiwe na wasi wasi,watamrudisha 2025!!yeye ajitangaze tu,kwenye sensa,mikutano,kila tukio hata kwenye mpira,ni PR kampeni inaendelea,Kinana,Kikwete na kundi lao,ndio wanaendesha nchi kwa remote,
Huwezi kuelewa mpaka 2025Huwezi amini sijaelewa
Sasahv hali bdo ni nzuri sana,subl tufike mwezi wa kwanza na kuendelea.Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..
Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
bora twende hvohivoAwamu iliyopita hawakusafiri Napo watu wakalalamika. Yaani bianadamu sijui anatakaje jamani.akiwa dikteta asiyecheka Napo wananuna
Kwa awamu hii ama Kama iliyopitabora twende hvohivo
Iliyopo hii hakuna namna.Kwa awamu hii ama Kama iliyopita
Huu ndiyo unaitwa ujinga wa KIHALAIKIMlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.
Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
kwani.. uliwahi kusimama?Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.
Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Kuna mda mnalazimisha watu kutukana ..kaaa.Jitu linaongelea shida ya umeme na maji as if halijii kwamba kuna hali ya Ukame kwa sasa..
Ulitaka haya mabwawa yatoe wapi maji? Mate yako?👇
Uchumi wa Tanzania ulishawahi kukua lini hata ukaleta unafuu kwenye maisha ya watu wa kawaida?Uchumi ulishaanguka miaka yote miwili ya mama.huyu alitakiwa aongoze kamati ya harusi na siyo nchi.mambo ya nchi hayawezi
Hoja alizoleta ni za kipumbavu, Ila hili la wewe kuweka tena dini ni upumbavu. Hivi kwa nn wafia dini ni wajinga mliopitiliza? Pelekeni Watoto shule muondoe huu ujingaUchumi wa Tanzania ulishawahi kukua lini hata ukaleta unafuu kwenye maisha ya watu wa kawaida?
Watz tumewazoea kila anapotawala mwislamu baaasi atadharauliwa mpaka na wapuuzi kabisa