Japo HUJANITAJA (Inaelekea hukuona umuhimu wangu kwa thread yako hii) jinsi nilivo na roho ya mchongoma nachangia hivo hivo!!!!!!!! ITS A FREE COUNTRY!!!!!!!!
Uchumba sugu tatizo na solutio yake vote viko kwenye huu usemi
IF YOU CAN GET FREE MILK EVERYDAY WHY KEEP A COW???????????????
Si maziwa tu hata nyama unapata pia, sidhani kama kuna haja ya kujitia shida.. LOL..Japo HUJANITAJA (Inaelekea hukuona umuhimu wangu kwa thread yako hii) jinsi nilivo na roho ya mchongoma nachangia hivo hivo!!!!!!!! ITS A FREE COUNTRY!!!!!!!!
Uchumba sugu tatizo na solutio yake vote viko kwenye huu usemi
IF YOU CAN GET FREE MILK EVERYDAY WHY KEEP A COW???????????????
na yeye ni miongoni mwao nn
If ur not ready to plan a wedding the next day, don't bother getting engaged......... Many couples who engaged for years never ended up getting married....
So, akili kumhead my wiii!!!!!!!!
Lakini wengi si tayari wameshawekwa kwanyumba, au bado wanajitegemea au kuwategemea wazee....!!!!asikwambie mapema basi ujipange yaani inauma kweli yaani nawaangalia watu ninaowafahamu wako kwenye uchumba wa muda mrefu nashindwa hata kuwashauri maana wanavyowapenda hao wanaume ,unaweza kutembezewa kichapo kwa umbea