Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Hahaha bora na wewe kuna mwengine anademu alafu yule demu anawasiliana na mabwana zake na pesa analushiwaHii ni changamoto inayotukumba vijana wengi sasa mfano mimi nipo kwenye uchumba sugu for 5 years na bado tunasomana namba.
Wife material wamekuwa adimu kama sarafu ya 500.
Duu siku mkiwa tayari na penzi lina chuja, uchumba gani huoHii ni changamoto inayotukumba vijana wengi sasa mfano mimi nipo kwenye uchumba sugu for 5 years na bado tunasomana namba.
Wife material wamekuwa adimu kama sarafu ya 500.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo kaliHahaha bora na wewe kuna mwengine anademu alafu yule demu anawasiliana na mabwana zake na pesa analushiwa
Haa acha kabisa asikuambie mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo kali
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ujinga mtupu mie siwezi uchumba 5yr natafuta nini! Niliwahi shuhudi watu wazima wanafunga ndoa hapo mwanzo walikuwa wanapendana hatari kitendo cha kwenda kwa baba paroko mwaka haukuisha jamani waligombana mpaka kuachana [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tena walikuwa na watoto wakubwa na mmoja wapo akiwa rafiki yanguHaa acha kabisa asikuambie mtu
Unajuwa ni kweli kuishi kwingi ni kuona mengi na ndo maana watu hawaowani na mwisho ni kuchakaza il Fe
Isije ikawa unasomwa namba wewe mkuuHii ni changamoto inayotukumba vijana wengi sasa mfano mimi nipo kwenye uchumba sugu for 5 years na bado tunasomana namba.
Wife material wamekuwa adimu kama sarafu ya 500.
Miaka mitano huo utakuwa uchumba hewa...√√√