Acha kuwatisha wenzio nilikaa na bibi yenu 1974 tukiwa shule mpaka 1981 ndiyo kufunga ndoa
Wewe ni me au ke?Nilikaa 5 yrs, nimeamua kuondoka lakini bado nampenda. Sema tu najipa moyo hapa nilipo, labda ntamsahau, ila nilimpenda aisee sema tu sikuona hata dalili ya kufikiria kuweka commitment.
Miaka miwili michache sana mimi na miaka 5Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka 2 mkiwa wachumba, kibongobongo uchumba sugu umeshaliza watu wengi, usijifariji kuwa mtaoana baada ya miaka 2 au zaidi, hiyo ni sawa na kufuga mti porini maeneo ya Shinyanga
Ooh, ke!Wewe ni me au ke?
Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka 2 mkiwa wachumba, kibongobongo uchumba sugu umeshaliza watu wengi, usijifariji kuwa mtaoana baada ya miaka 2 au zaidi, hiyo ni sawa na kufuga mti porini maeneo ya Shinyanga