PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,104
- 1,924
Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka 2 mkiwa wachumba, kibongobongo uchumba sugu umeshaliza watu wengi, usijifariji kuwa mtaoana baada ya miaka 2 au zaidi, hiyo ni sawa na kufuga mti porini maeneo ya Shinyanga