geee kay Senior Member Joined Mar 21, 2015 Posts 112 Reaction score 63 Nov 10, 2016 #1 Ndugu naomba mnisaidie, ukitaka kuchukua transcript Udsm kwa sasa unatakiwa uwe na vyeti vyako vya taaluma na cha kuzaliwa original au copy tu za vyeti hivyo
Ndugu naomba mnisaidie, ukitaka kuchukua transcript Udsm kwa sasa unatakiwa uwe na vyeti vyako vya taaluma na cha kuzaliwa original au copy tu za vyeti hivyo
cjilo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 884 Reaction score 447 Nov 10, 2016 #2 Ni copy tu ya vyeti hivyo, pamoja na id yako yoyote na cearance form iliyokamilika
M Mtarban JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 3,936 Reaction score 5,209 Nov 10, 2016 #3 kwani za mwaka huu ziko tayari?
geee kay Senior Member Joined Mar 21, 2015 Posts 112 Reaction score 63 Nov 10, 2016 Thread starter #4 cjilo said: Ni copy tu ya vyeti hivyo, pamoja na id yako yoyote na cearance form iliyokamilika Click to expand... Asante sana
cjilo said: Ni copy tu ya vyeti hivyo, pamoja na id yako yoyote na cearance form iliyokamilika Click to expand... Asante sana
M Msomi_wa_bongo2 Member Joined Nov 6, 2015 Posts 46 Reaction score 18 Sep 29, 2018 #5 naomba kujuzwa ivi transcripts za mwaka huu 2018 kwa udsm tayari?
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,336 Reaction score 10,895 Sep 29, 2018 #6 Omarimilonjo said: naomba kujuzwa ivi transcripts za mwaka huu 2018 kwa udsm tayari? Click to expand... Mwezi wa kumi
Omarimilonjo said: naomba kujuzwa ivi transcripts za mwaka huu 2018 kwa udsm tayari? Click to expand... Mwezi wa kumi
M Msomi_wa_bongo2 Member Joined Nov 6, 2015 Posts 46 Reaction score 18 Sep 29, 2018 #7 Jokajeusi said: Mwezi wa kumi Click to expand... sawa ahsante