Wasamehe hawajui watendalo!
Mkuu wala asikuumize kichwa huyo mpumbavu,
Yeye ni sehemu ya wapuuzi wengi waliokuwepo hapa na sasa wamekosa cha kuongea wakaamua kutokomea,
Hajui hata anachokililia, yeye kwake neno "nyerere" ni homa kubwa!
Muache aendee kubwabwaja yamoyoni mpaka yamuishe kabisa kisha tutampa maziwa anywe asafishe domo lake!
Mie nimebaki mtazamaji tu hapa, jamvi tushalianua na ubwabwa tushaupuga long time!
Mkuu wa Chuo hebu nitumie namba yako shehe wangu!

Sasa ulivyokuwa ananitisha eti nisihoji mahusiano yako na Nyerere takuwa natangaza vita na mods kisa wewe ni Verified User ulikuwa na maana gani.
Na kwa nini uliwadanganya wanaukumbi muda wote huo mpaka wengine wamekutetea kuwa wewe ni mtoto Julius Kambarage watu kama Ngongo, WildCard, wataweka wapi sura zao kwa jinsi walivyokuwa na uhakika kuwa Kambarage ni baba yako.
Na kwa nini ulikuwa unataka kuwafumba midomo watu kuwa wasiliongelee tena hili swala mtalimaliza kifamilia na Mzee Butiku.
Mods: Paw, Buchanan, na Invisible, huyu mtu anatakiwa hawaombe radhi nyie pamoja na wanaukumbi kuna watu mliwapiga ban kwa sababu ya kuhoji nasaba yake na Mwalimu Julius Kambarage, na kawapa usumbufu mkubwa sana, kaka yangu Jasusi, kwa hili taendelea kukupa lawama kwa ukimya wako mpaka kina mama Maria mzee Butiku wamepata usumbufu mkubwa, pamoja na watoto wengine wa Kambarage, wengine wametukanwa humu.
Ki ufupi huyu jamaa ni tapeli.
Mkuu Ngongo haya maneno angeyasema tokea mwanzo yasingemkuta haya yaliyomkuta lakini kwa kutaka kujikweza majibu yake ameyapata! ahsanta
Ha ha ha ha ah Dr Ritz huishi vituko Mkuu Yericko Nyerere katoa ufafanuzi mzuri lakini bado unamshikia bango sasa ebu niambie ulitaka asemeje ili uridhike.
Ha ha ha ha ah Dr Ritz huishi vituko Mkuu Yericko Nyerere katoa ufafanuzi mzuri lakini bado unamshikia bango sasa ebu niambie ulitaka asemeje ili uridhike.
Uzi huu unatakiwa uwe wazi wakati wote, .........kwa kila mwenye 'msuto' atupie humu ndani !
Utakomajee !?
Uzi huu unatakiwa uwe wazi wakati wote, .........kwa kila mwenye 'msuto' atupie humu ndani !
Utakomajee !?
ha ha ha Duh! Kazi..imetosha jamani
Kuna Muhehe anaitwa Nyerere? Majina ya Wahehe ni kina Mdunda, Kivenule, Mwakavijika, Mnyiguma, Myinga, Lumaco.
Hawa hapa chini ni watato wa Yericko Nyerere,
1) Che-Lee Nyerere
2) Su-Yang Nyerere
Teh teh teh teh.
Hawa hapa chini ni watato wa Yericko Nyerere,
1) Che-Lee Nyerere
2) Su-Yang Nyerere
Teh teh teh teh.
Hivi huwa huna kazi za kufanya?
We unayo ..? ..mbona haupo huko kuna hiyo kazi ?
Hawa hapa chini ni watato wa Yericko Nyerere,
1) Che-Lee Nyerere
2) Su-Yang Nyerere
Teh teh teh teh.
Tumeumalza kiutam sana mjadala huu,
Yan opponent kaja kuanguka Round ya mwisho kabisa,na tulikuwa tuna uwezo wa kumwangusha tokea round ya kwanza,lakin Moh Said tukaona tumpe wasaa kwanza amwage elimu hapa kisha tummalize mtuhumiwa wetu namba moja,
Yericko checkbob ati anasema babu yake INASEMEKANA KATOKEA KASKAZIN NA WANA UHUSIANO NA NYERERE..!
Ha ha ,just simple like that?
Mhehe na Mzanaki wapi na wapi?
Naskia huwa mna hulka za kujinyonga nyinyi,
Sasa ni fursa kwako kwa aibu hii iliyokukumba usage vyupa umeze au ujitundike kitanzi?
Utauweka wapi uso wako na nasaba yako ya kudandia hapa jukwaani?
Utapeli siku zote hauna tija,na njia ya mwongo na mwizi siku zote ni fupi??
Tumekushikisha adabu,na hii itakuwa fundisho kwa jamaa zako wote,
nakuona jins unavyolia na kusaga meno,lakin bakora bado sana...
Mkuu Ritz,unasababisha nionekane mwehu mbele ya wanangu ninacheka peke yangu mpaka watoto wanashangaa.Hahahahaaa!!Kuna Muhehe anaitwa Nyerere? Majina ya Wahehe ni kina Mdunda, Kivenule, Mwakavijika, Mnyiguma, Myinga, Lumaco.