siku hizi kuna ukuni au kupishana na upara kwa kisu
mchepuko chunga
Hivi kuna mwanaume hachepuki kweli???
Hivi kuna mwanaume hachepuki kweli???
Suala la uchepukaji limekuwa haliepukiki na limekuwa changamoto kwa watu wengi. Sishauri sana ila kama imekulazimu kuchepuka chukua tahadhari zifuatazo uwe salama;
1.Uwazi: Uwe wazi kwa huyo unaemchepukia kwamba una njia kuu(mke)na anapaswa kumuheshimu
2.Muda wa mawasiliano: Kamwe asikupigie simu usiku kuanzia saa kumi na mbili kuendelea na ikibidi wewe ndo unapaswa kuchokoza mawasiliano na si yeye
3.Frequency ya mawasiliano: Msipende kuwasiliano hovyo hovyo kwani risk yake ni kubwa
4. Message: Msipende kutumiana sms za mapenzi na kama italazimu futa the moment unamaliza kusoma
5.Usipende kumwambia mchepuko madhaifu ya mkeo kwani ni hatari sana na hujui atayatumiaje?
6.Wivu: Ule ni mchepuko na huna mpango wa kumuoa sasa akitoka na mtu mwingine wivu wa nini?Hiyo haijatulia
Uchepukaji si vizuri ila ikilazimu...karibuni wengine kwa michango zaidi
hahaaaaa ukikamatwa ni kunyolewa nywele na panga tu
Unapotoa njia za kuchepuka maana yake unahalalisha jambo hili,kwanini tusiwekeze kwa wake zetu vitu ambavyo tunaona havipo kwao na tunavipata kwenye hiyomichepuko?Kama naona mke wangu hana kitu fulani na ninakipenda namwambia kuwa nataka hiki na hivi kuliko nianze kuangalia upande mwingine kitu ambacho baadae kinaleta matatizo katika familia na jamii kwa ujumla.
Cha msingi wakuu yafaa tubaki njia kuu itatusaidia zaidi kuweka familia zetu katika maisha yaliyo bora.