E Engineer Wanyonyi New Member Joined Sep 24, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Oct 3, 2026 #1 Malipo ya refund chuo cha MUST mbeya hayatolewi licha ya kufuata taratibu zote za kiuongozi huku tukiambiwa kwamba anasubiriwa mkuu wa chuo asaini toka mwaka jana hadi sasa hamna kinachoendelea na hakuna taarifa yoyote kwa wanafunzi tunaodai
Malipo ya refund chuo cha MUST mbeya hayatolewi licha ya kufuata taratibu zote za kiuongozi huku tukiambiwa kwamba anasubiriwa mkuu wa chuo asaini toka mwaka jana hadi sasa hamna kinachoendelea na hakuna taarifa yoyote kwa wanafunzi tunaodai