Uchebe atua AFC Leopard ya Kenya

Mbona kapauka sana,ama kweli Simba ni timu ya neema.
Ni kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .

Mo hajawahi kutumia hela yake kuihudumia Simba
 
Mkuu kwaiyo ata wachezaji wanalipwa na izo hela za club bingwa? Za usajili je

Izi timu zetu ni choka mbaya GSM na Mo waheshimiwe ata kidogo
 
Unajua kiasi cha pesa kinachoingizwa na simba au Yanga ?
 
Ni kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .

Mo hajawahi kutumia hela yake kuihudumia Simba
Ukweli mchungu. ....[emoji41]
 
Ni kweli Simba ilikuwa inampa mshahara mkubwa kutoka kwenye fungu la CAF la ligi ya mabingwa , na ndio maana walipotolewa kwenye hatua ya makundi ikabidi afukuzwe kwa vile hakukuwa na hela za kumlipa .

Mo hajawahi kutumia hela yake kuihudumia Simba
Ongera umejitahidi.
Kahadithi kako kazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…