Uchawi wa kuwa maarufu kama mr nice au diamond

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Kuna ndege mdogo anamjua mrefu anaspidi sana na kumkamata ni kazi sana.
Unachotakiwa ni kumkamata akiwa hai kisha unampeleka kwa fundi wanaojua ni wachache tanga na bagamoyo ila ukiulizia humkosi ukimpata ndege huyo anatengenezwa na mtu Fulani unamla basi utakuwa maarufu balaa.
Ndege huyu ukimuona

IMG_20190529_172723_6.jpg
IMG_20190529_172733_8.jpg
apita mahali nyuma hufuatwa na kundi kubwa la ndege wasioaina yake yaani ananguvu za uongozi wa kiasili Kuna mbinu inatumika kuhamishia nguvu hivvu hiyo kwako kama mwanasiasa unapigwa uwaziri wiki haiishi
 
Kuna ndege mdogo anamjua mrefu anaspidi sana na kumkamata ni kazi sana.
Unachotakiwa ni kumkamata akiwa hai kisha unampeleka kwa fundi wanaojua ni wachache tanga na bagamoyo ila ukiulizia humkosi ukimpata ndege huyo anatengenezwa na mtu Fulani unamla basi utakuwa maarufu balaa.
Ndege huyu ukimuona

View attachment 1134268View attachment 1134270apita mahali nyuma hufuatwa na kundi kubwa la ndege wasioaina yake yaani ananguvu za uongozi wa kiasili Kuna mbinu inatumika kuhamishia nguvu hivvu hiyo kwako kama mwanasiasa unapigwa uwaziri wiki haiishi
Anaitwa Msese. Namjua sana ndege huyo wala hana kazi hiyo unayo isema. Msese anatumika kwenye ndumba za mapenzi.
 
Me nilisikia huyo ndege ukimplka mzima hamna girl atakukataa
 
Anaitwa Msese. Namjua sana ndege huyo wala hana kazi hiyo unayo isema. Msese anatumika kwenye ndumba za mapenzi.
Anamatumizi mengi ya kuleta mvuto hata biashara kwenye mapenzi hata ukimpata mfu ila kwaajiri ya umaarufu lazima awe hai ndo inapowashinda wengi
Screenshot_20190622-111715.png
 
Nani anamtaka huyo ndege anaitwa pin-tailed whydah... Huyo hapo pichani yupo breeding...

Kama kuna mtu ana muhitaji nimuuzie...mimi ni bird watcher
ok watu wababe ulimpataje mkuu hata kumsogelea kazi ,saidia vijana wawe maarufu mkuu
 
Ni kweli dawa za giza za kukufanya uwe mtu fulani zipo na zitaendelea kuwepo.
MTAZAMO WANGU:
Kama una kipaji kikubwa, unajiamini na una mtu professional mwenye fani ya kukutangaza, haina haja ya hizo dawa.
Ila kama una kipaji au huna, bila kujalisha mtu wa kukutangaza halafu hujiamini, hapo ndiyo utumie hizo dawa.
 
ok watu wababe ulimpataje mkuu hata kumsogelea kazi ,saidia vijana wawe maarufu mkuu
kumpata ni simple... Ngoja nikueleweshe kitu kidogo... Huyu haonekanagi mara kwa mara kwasababu sio kipindi chote cha mwaka anakuwa breeding.. Hivyo huonekana katika umbo na rangi nyingine, na watu wanashindwa kumjua kama ndio yeye

Picha yake hii akiwa kawaida
images%20(11).jpeg
 
Jamani jf ni kila kitu Ndio yeye kabisa huyu ,umeona niliteseka kupata picha yake hapo juu
Aaahh ..... Ukiandika tu hilo jina nililo kutajia "pin-tailed whydah" utaona picha zake..

Mpaka sasa ninawajua ndege zaid 300 hivi kwa majina yao..Tatizo sina camera za kuwapiga picha
 
Back
Top Bottom