Uchawi wa ex-girlfriend ulivyonitesa

Hahahah huyu jaman ameniacha hoi,inaonesha unakemea kutoka mdomon na siyo moyoni,subri xgal wako apate IDs zako aanze kukushughulikia.
 
Kila uchao kitu kipya...dunia haiishi habari hii
 
acha kumchafua mdada wa watu fikiria ungekuwa wewe ungejisikije na nahisi huyo mungu wako ni mungu wa vita sio kama mungu tunayemwabudu sisi mungu wa amani
 
Hujiamini wewe,huyo bint wala hajakuroga!!!
Hofu ni maradhi mabaya kabisa na ukiiendekeza kuna siku utahama Dunia kabisa,maana naona ndio ulichobakiza baada ya kubadili mpaka Mkoa!!!!
 
Lahaulah!,ukome kuchezea wtt wa watu,ningekua mm nina huo uchawi ningenyofoa hicho kifanyio kabisa!

Dada id yako na comment yako inaonekana utaki ht mizahaa
pengine ungekuwa silaha/bastora nahisi ukitembea nayo unaweza kuua watu,
ni bora ww co mchawi maana ungewakomesha sn.
 
Dada id yako na comment yako inaonekana utaki ht mizahaa
pengine ungekuwa silaha/bastora nahisi ukitembea nayo unaweza kuua watu,
ni bora ww co mchawi maana ungewakomesha sn.
yani ningeupata huo uchawi ndio wangenikoma kabisaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…